Baraza
Baraza la Manispaa Kati
Zanzibar
SMZ
Baraza la Manispaa Kati
+255 773 168 121
|
Utalii
Wilaya ya Kati ina vivutio vingi vya utalii ikiwemo alama za kihistoria, magofu, mapango na maeneo ya asili yenye uzuri wa pekee. Baraza la Mji Kati linakusudia kuendeleza sekta ya utalii ili kuleta faida kwa wananchi na kuongeza pato la Wilaya.
Wilaya ya Kati
Shiriki:

Una Nia ya Kuwekeza?

Wasiliana na ofisi yetu kwa maelezo zaidi kuhusu fursa hii.

Wasiliana Nasi