Muundo wa Utawala
Mfumo wa Kisheria
Chati ya Shirika
Baraza la Manispaa Kati linaongozwa na Baraza (Council) na kusaidiwa na Mkurugenzi Mkuu anayesimamia Divisheni tatu na Vitengo sita vya kiutaalamu.
Ngazi ya Juu
BARAZA
Council / Baraza la Wawakilishi
Uongozi Mkuu
MKURUGENZI MKUU
Director General
Vitengo vya Msaada (6)
Ukaguzi wa Hesabu
Uhasibu
Ununuzi
Huduma za Kisheria
Tehama
Habari
Divisheni Tatu (3)
Divisheni ya Kwanza
Mapato, Uchumi na Wajasiriamali
Idara / Sehemu
Divisheni ya Pili
Mazingira na Mipango Miji
Idara / Sehemu
Divisheni ya Tatu
Utumishi na Utawala
Idara / Sehemu
1
Mkurugenzi Mkuu
3
Divisheni
6
Vitengo vya Msaada
10+
Sehemu za Kazi