Imekamilika
Mradi wa Vituo vya Daladala ni programu ya kubuni, kujenga na kuboresha vituo vya usimamizi wa huduma za usafiri wa umma ili kutoa mazingira salama, safi na ya starehe kwa abiria na waendeshaji wa daladala. Mradi unalenga kuimarisha miundombinu ya usafiri, kupunguza msongamano, na kuboresha huduma za usafiri kwa wananchi.
Eneo
Kidimni, Tunguu na Jumbi
Mwaka
2024-2026
Gharama
TSh 86,001,598