Mkurugenzi wa Baraza la Manispaa Kati anatangaza kwa wananchi wote kwamba Bustani ya Jamii iliyopo Jumbi Kilimani, Barabara ya Komodoo, kinyume na Lango la Mchoma itakuwa wazi siku za likizo, Jumamosi na Jumapili kuanzia saa 10 jioni hadi saa 4 usiku.
Mkurugenzi wa Baraza la Manispaa Kati anatangaza kwa wananchi wote kwamba Bustani ya Jamii iliyopo Jumbi Kilimani, Barabara ya Komodoo, kinyume na Lango la Mchoma itakuwa wazi siku za likizo, Jumamosi na Jumapili kuanzia saa 10 jioni hadi saa 4 usiku. Tafadhali karibuni kufurahia mazingira mazuri na yenye vivutio. Bidhaa mbalimbali zitapatikana ikiwemo vinyago, magari ya watoto, baiskeli, chakula na vinywaji. Bustani hii ni mahali pa kupumzika na kufurahia.