Baraza
Baraza la Manispaa Kati
Zanzibar
SMZ
Baraza la Manispaa Kati
+255 773 168 121
|

Madiwani wa Baraza la Manispaa Kati wametakiwa kuibua vyanzo vipya vya mapato ili kuimarisha uchumi wa Baraza na kutoa huduma bora zaidi kwa wananchi.

Madiwani wa Baraza la Manispaa Kati wametakiwa kuibua vyanzo vipya vya mapato ili kuimarisha uchumi wa Baraza na kutoa huduma bora zaidi kwa wananchi. Baraza la Manispaa limepangiwa kukusanya jumla ya shilingi 2,357,287,200 kwa mwaka wa fedha 2026/2027. Kwa habari zaidi tembelea: https://radiotadio.co.tz/zenjfm/2026/02/07/5275/
Aina: habari
Shiriki: