Baraza
Baraza la Manispaa Kati
Zanzibar
SMZ
Baraza la Manispaa Kati
+255 773 168 121
|

Masheha 42 wa Wilaya ya Kati wamepatiwa mafunzo ya kukabiliana na maafa ili kuimarisha ustahimilivu wa jamii dhidi ya majanga ya asili na mengineyo.

Masheha 42 wa Wilaya ya Kati wamepatiwa mafunzo ya kukabiliana na maafa ili kuimarisha ustahimilivu wa jamii dhidi ya majanga ya asili na mengineyo. Mafunzo haya yanalenga kuwawezesha Masheha kuwa mstari wa mbele katika kushughulikia majanga na kusimamia usalama wa wananchi katika maeneo yao. Kwa habari zaidi tembelea: https://radiotadio.co.tz/zenjfm/2026/03/14/5513/
Aina: habari
Shiriki: