Baraza
Baraza la Manispaa Kati
Zanzibar
SMZ
Baraza la Manispaa Kati
+255 773 168 121
|

Miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Baraza la Manispaa Kati imetajwa kuwa na mchango mkubwa katika kuinua uchumi wa wananchi wa Wilaya ya Kati.

Miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Baraza la Manispaa Kati imetajwa kuwa na mchango mkubwa katika kuinua uchumi wa wananchi wa Wilaya ya Kati. Miradi kama vile Soko la Kikungwi, Vituo vya Daladala na Bustani ya Jumbi imeweza kutoa fursa za kibiashara na kiburudani kwa wananchi. Kwa habari zaidi tembelea: https://radiotadio.co.tz/zenjfm/2026/01/23/5154/
Aina: habari
Shiriki: