Habari na Matukio
tangazo
04 Jun 2026
Mkutano wa Baraza la Madiwani Mwezi Juni 2026
Baraza la Madiwani limekutana kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo ikiwa ni pamoja na bajeti ya robo ya pili ya mwaka.
Soma Zaidi
tangazo
30 Jun 2026
Bustani ya Jamii Jumbi Imefunguliwa kwa Umma
Mkurugenzi wa Baraza la Manispaa Kati anatangaza kwa wananchi wote kwamba Bustani ya Jamii iliyopo Jumbi Kilimani, Barabara ya Komodoo, kinyume na Lango la Mchoma itakuwa wazi siku za likizo, Jumamosi na Jumapili kuanzia saa 10 jioni hadi saa 4 usiku.
Soma Zaidi