Habari na Matukio
Baraza la Manispaa Kati Lafungua Mradi wa Maji Safi
Meya wa Baraza la Manispaa Kati amefungua rasmi mradi wa kusambaza maji safi katika maeneo ya Ng'ambo na Mwembe Ladu.
Soma ZaidiShule Tatu Zawashia Kompyuta na Vifaa vya Kisasa
Kwa msaada wa wadau wa elimu, shule tatu za msingi katika Wilaya ya Kati zimepata kompyuta na vifaa vya kisasa vya kujifunzia.
Soma ZaidiMasheha 42 Wapatiwa Mafunzo ya Kukabiliana na Maafa Wilaya ya Kati
Masheha 42 wa Wilaya ya Kati wamepatiwa mafunzo ya kukabiliana na maafa ili kuimarisha ustahimilivu wa jamii dhidi ya majanga ya asili na mengineyo.
Soma ZaidiMadiwani Manispaa Kati Watakiwa Kuibua Vyanzo Vipya vya Mapato
Madiwani wa Baraza la Manispaa Kati wametakiwa kuibua vyanzo vipya vya mapato ili kuimarisha uchumi wa Baraza na kutoa huduma bora zaidi kwa wananchi.
Soma ZaidiMiradi ya Manispaa Kati Yatajwa Kuinua Uchumi wa Wananchi
Miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Baraza la Manispaa Kati imetajwa kuwa na mchango mkubwa katika kuinua uchumi wa wananchi wa Wilaya ya Kati.
Soma Zaidi